Wednesday, August 21

RAIS DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI LEO

0


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Fatma Gharib Bilal  kuwa  Katibu Mkuu katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto katika hafla  iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Nd,Abdalla Hassan Mitawi kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais katika  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
 Baadhi ya Mawaziri waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Viongozi leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliwaapisha Viongozi hao Fatma Gharib Bilal  kuwa  Katibu Mkuu katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto na Nd,Abdalla Hassan Mitawi kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mhe.Balozi Seif Ali Iddi kabla kuwaapisha  Viongozi aliowateuwa hivi karibuni hafla hiyo ya kiapo ilifanyika leo  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika kiapo cha Viongozi Fatma Gharib Bilal  kuwa  Katibu Mkuu katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto na Nd,Abdalla Hassan Mitawi kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,walioapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha na Ikulu)Read More

Share.

About Author

Comments are closed.