Friday, August 23

TIMU ZA BUNGE, WAWAKILISHI ZATOKA SARE 2-2

0


 Waziri 
Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Spika wa Bunge la Tanzania, Job
Ndugai, wakati akiwasili katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili
26, 2019, kushuhudia mpira kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kutoka kushoto
ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi, Spika wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid, Mbunge wa Viti maalum, Salma
Kikwete.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Waziri 
Mkuu Kassim Majaliwa, akiwapa mkono Wabunge wa Bunge la Tanzania,
wakati akikagua timu katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, katika
mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).

 Waziri 
Mkuu Kassim Majaliwa, akiwapa mkono Wabunge wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar, wakati akikagua timu katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma,
katika mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).

 
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akirusha shilingi kabla ya mechi kuanza,
kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la
Wawakilishi Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini
Dodoma, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Waziri 
Mkuu Kassim Majaliwa, akipuliza firimbi, kwenye kati ya Wabunge wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi
Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili
26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 
Mbunge wa Jang’ombe Ali King, akicheza mpira wa juu, katika mechi ya
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la
Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini
Dodoma, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Waziri 
Mkuu Kassim Majaliwa, akioneshwa jambo na Spika wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid, kwenye kati ya Wabunge wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar,
iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Wabunge
wakiangalia mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja
wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).

Share.

About Author

Leave A Reply