Thursday, August 22

RAIS DKT.MAGUFULI WA TANZANIA NA MWENYEJI WAKE RAIS MNANGAGWA WA ZIMBABWE WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI IKULU JIJINI HARARE NCHINI ZIMBABWE

0


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu waliyojadiliana baina ya Serikali za nchi zote mbili.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa pamoja na waandishi wa habari wa Zimbabwe na Tanzania mara baada ya kuzungumza nao Ikulu ya Harare Nchini Zimbabwe.

Picha na Ikulu

Share.

About Author

Leave A Reply