Friday, August 23

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS PROF.MUTHARIKA IKULU YA KAMUZU,LILONGWE NCHINI MALAWI

0

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Mazungumzo na
Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika pamoja na
Mawaziri na Watendaji wa Serikali kabla ya Kusaini Mikataba ya
Makubaliano ya Masuala mbalimbali yanayohusu Nchi zote mbili  katika
Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi Aprili 24, 2019.

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Mazungumzo na
Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika pamoja na
Mawaziri na Watendaji wa Serikali kabla ya Kusaini Mikataba ya
Makubaliano ya Masuala mbalimbali yanayohusu Nchi zote mbili  katika
Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.

Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mwenyeji wake
Rais wa Malawi Prof.  Arthur Peter Mutharika kwa Zawadi aliyompatia mara
baada ya Mazungumzo ya Kiserikali katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini
Lilongwe Nchini Malawi.Aprili 24, 2019.

10

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha
ya Twiga na Mlima Kilimanjaro Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter
Mutharika mara baada ya Mazungumzo ya Kiserikali katika Ikulu ya Kamuzu
iliyopo Jijini Lilongwe Nchini Malawi.Aprili 24, 2019.

11

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya
Kinyago Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya
Mazungumzo ya Kiserikali katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe
Nchini Malawi.Aprili 24, 2019.

12

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa
Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya kumkabidhi zawadi ya
kinyago katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Nchini
Malawi.Aprili 24, 2019.

13

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika,
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania
Prof. John Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi Dkt.Lois Fabiano
pamoja na Mawaziri na Viongozi wengine wa Sreikali ya Tanzania na Malawi
katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.Picha na Ikulu

Share.

About Author

Leave A Reply