Monday, August 19

RAIS DK.SHEIN AKUTANA UJUMBE WA HUAWEI LEO

0


 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia)  akisalimiana na  Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao. (Picha na Ikulu) 
 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Huawei unaoongozwa na  Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong (wa pili kulia)  ujumbe huo ulipofika Ikulu Zanzibar  leo kwa mazungumzo. 
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatnana nao (hawapo pichani). Read More

Share.

About Author

Comments are closed.