Sunday, August 18

PICHA MBALIMBALI ZA AROBAINI YA MSIBA WA MZEE KINGUNGE NA MKEWE

0


 Mtoto Maraehemu Mzee Kingunge Gombalemwili , Kinjeketile Ngombale akiwa na mkewe akiweka shada la maua kwenye kaburi la babayake wakati wa kuhitimisha arobaini ya msiba wa Baba yake na Mama yake katik amakaburi ya kinondoni jijini Dar es Salaam.
  Mtoto Maraehemu Mzee Kingunge Gombalemwili , Kinjeketile Ngombale, akisali mara baada ya kuweka mashada kwenye kaburi la Baba yake na Mama yake wakati wa kuhitimisha arobaini ya msiba wa wazee hao.
 Mtoto Maraehemu Mzee Kingunge Gombalemwili , Kinjeketile Ngombale akiwa na mkewe pamoja na ndugu waliofika kuomboleza arobaini ya msiba huo katika makaburi ya kinondoni Dar es Salaam.
 Ndugu wa Marehemu Mzee Kingunge  Ngombalemwilu wakiwa wamekusanyika katika kuomboleza arobaini ya msiba  katika makaburi ya kinondoni.
 Ndugu wa Marehemu Mzee Kingunge  Ngombalemwilu wakiwa wamekusanyika katika kuomboleza arobaini ya msiba  katika makaburi ya kinondoni.
 Waombolezaji wa wakiweka Mshumaa makaburi ya Marehemu Kingunge na Mkewe wakati arobaini ya kumaliza msiba .
 Kaka wa Marehemu Ngombalemwilu akiweka Mshumaa kwenye kaburi la kaka yake .
 Ndugu wa Marehemu Kingunge Ngombalemwilu wakiwa katika picha ya pamoja mara bada ya kuhitimisha arobaini katika makaburi ya kinondoni Dar es Salaam.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.