Sunday, August 25

KAMATI YA BUNGE YA UONGOZI YAKUTANA LEO MJINI DODOMA

0


 Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa, Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilicholenga Mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye kamati za kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara Mbali mbali kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2018 katika ofisi za Bunge Mjini Dodoma. kikao hicho pia kilihudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto kwake) alieambatana na baadhi ya Mawaziri.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa kassim Majaliwa (kushoto) akimsikiliza Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt.Tulia Ackson (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilicholenga Mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye kamati za kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara Mbali mbali kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2018 katika ofisi za Bunge Mjini Dodoma. kikao hicho pia kilihudhuriwa na Baadhi ya Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Suleiman Kakoso (watatu kulia) akizungumza jambo wakati wa kikao cha uongozi kilicholenga Mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye kamati za kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara Mbali mbali kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2018 katika ofisi za Bunge Mjini Dodoma. kikao hicho kiliongozwa na Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson pia kilihudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alieambatana na baadhi ya Mawaziri kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao kilicholenga Mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye kamati za kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara Mbali mbali kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2018 katika ofisi za Bunge Mjini Dodoma. kutoka kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Adelardus kilangi (katikati) na Mjumbe wa Kamati, Mhe. David Silinde (kushoto) kikao hicho kiliongozwa na Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson pia kilihudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alieambatana na baadhi ya Mawaziri.
 Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao kilicholenga Mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye kamati za kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara Mbali mbali kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2018 katika ofisi za Bunge Mjini Dodoma. kikao hicho kiliongozwa na Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson pia kilihudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alieambatana na baadhi ya Mawaziri kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)Read More

Share.

About Author

Comments are closed.