Wednesday, May 22

AIRTEL YAFANYA USAJILI KWA NJIA YA VIDOLE ENEO LA MTUMBA MJI WA SERIKALI

0


Airtel yaendeleza usajili kwa Watumishi mbalimbali kutoka Wizara na taasisi zake zilizopo katika mji
wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ambao ni wateja wa Airtel wakisajili
laini zao kwa alama za vidole jana. Airtel inaendelea na usajili huo
pia katika maduka yake zaidi ya 650 nchini. (Picha na Airtel).

Share.

About Author

Leave A Reply