Saturday, August 24

TANGAZO: TATIZO LA KUTOONEKANA KWA PICHA KWA BAADHI YA WATUMIAJI

0


Tunaomba radhi kwa tatizo la kuto kuonekana kwa picha kwa Baadhi ya watumiaji wetu wa App ya Muungwana Blog.

Tunapenda kuwataarifu kuwa tatizo hilo limekwisha Rasmi, kama bado unatatizo hilo basi ingia PLAY STORE kisha UPDATE App yetu, Au Bonyeza  HAPA KU-DOWNLOAD

Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza katika kipindi hiki chote.

Kwa Maoni au maswali wasiliana nasisi kupitia namba hizi 0719788949 – 0789547574


Share.

Leave A Reply