Wednesday, August 21

NDOTO YAKO IKO HAPA

0


CLINICAL MEDICINE TANZANIA.
ST. DAVID COLLEGE OF HEALTH & ALLIED SCIENCES kilichopo KIMARA TEMBONI eneo maarufu la MOA, ni chuo chenye dhamana kubwa ya Serikali KUPITIA wizara ya afya na nacte kuwaanda vijana  wenye sifa stahiki kusomea UDAKTARI kwa ngazi ya CHETI & DIPLOMA.

MUHULA MPYA sasa umeanza.Kama uko Dar fika moja kwa moja chuo kukamilisha taratibu zote na kuanza Mara moja.

Kama uko mkoani ingiwa ujisajiri mtandaoni www.stdavidcollege.ac.tz.
Au tuma email/namba yko ya wasap utumiwe fomu.
Au wasiliana nasi tuunganishe na wakala wetu popote ulipo Tanzania hata nje ya mipaka yetu.

ADA ZETU NI NAFUU UTALIPA KWA AWAMU.
PIA WAWEZA SOMA KWA MAKUBALIANO MAALUMU INGAWA NAFASI HIZI NI KWA WACHACHE.

KUMBUKA WALIOPO MAENEO YA MOA AMA KIMARA WANAPUNGUZO MAALUMU LA ADA. NA PIA WANAOTOKA MIKOA MAALUMU KAMA KATAVI, MTWALA, ENEO LA LONGIDO, MONDULI, MAKETE, WILAYA YA SONGWE, IPINDA SEKONDARI, MZUMBE SEKONDARI, HIGHLAND SEKONDARI IRINGA, KIJIJI CHA GALAPO BABATI, IKAMA SEKONDARI NA VIJIJI VYA TALATALA, NGOLELA, MWAMBUSYE, LAZIMA WAPATE BARUA TOKA SERIKALINI KWA UTHIBITISHO.

WASILIANA NASI 0654354949 / 0716044610/ 0652454847 / 0656012628Share.

Leave A Reply