Sunday, August 25

MUUNGWANA BLOG YAZINDUA HUDUMA YA VIP, NI HUDUMA YA KULIPIA

0


VIP ni huduma ya kulipia ambayo itakuwezesha mtumiaji kuweza kutumia huduma zetu Bila kuona MATANGAZO na kuweza kupata huduma ya MATCHES na MARKET PLACE.


Unacho takiwa kufanya ni Kuingia kwenye App yako kisha juu mkono wa kulia utaona Alama ya kiulizo kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha kisha bofya hicho kiulizo.

ANGALIA VIDEO HII KUONA MFUMO HUU WA MALIPO ULIVYO

Ukisha bofya hicho kiulizo utakuja ujumbe kama unavyoonekana kwenye picha hii, kisha bofya neno LIPIA.

Ukisha Bofya neno LIPIA  utakakuja ujumbe kama unavyoonekana hapo juu, kisha bofya Email yako ambayo ndio itakuwa Profile yako.

 Kisha itafunguka kama hivi, kisha bofya mshale ulio zungushiwa duara la njano.

Baada ya kubofya mshale uliopo kwenye duara la njano itafunguka kama hivi Yani

  • Mwezi mmoja Tsh 650
  • Miezi mitatu 1,800
  • Miezi sita 3,600
  • Mwaka Mmoja 7,200

Hapo utachagua kifurushi unachotaka kulipia kama ni Mwezi mmoja, Miezi mitatu, Miezi sita, Mwaka Mmoja.

 Ukishachagua kifurushi chako utabofya neno ENDELEA NA MALIPO

 Kisha utaandika namba yako ya simu ambayo ndio itakayo tumika katika malipo ya kifurushi chako.

Hii ni NAMBA YA MALIPO ambayo ndio itakayo tumika kulipia huduma hii, chakufanya ni kubofya hicho kibox kilicho zungushiwa duara la njano ukibfya maana yake ni umeKOPI hiyo Namba, au unaweza kunakili namba hii pembeni.

Kisha utafunguka ujumbe huu,  Haya ni MAELEKEZO ambayo utakayo yafata ili kuweza kulipia huduma hii.

Utatoka kwenye App na utafungua sehemu ya kupiga simu kisha utaingiza kodi ya mtandao unaoutumia na kisha kuanza kufanya malipo hayo, Yani kama unatumia Tigo pesa, Airtel Money, M-pesa au mtandao wowote ule.

Ukishamaliza kufanya malipo utarudi kwenye App yako kisha utaona alama ya VIP juu mkono wa kulia hapo utakuwa  tayari kwa kufurahia Huduma zetu..

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA  0719 788 949 / 0789 547 574.. 


Share.

Leave A Reply