Sunday, August 18

Mambo ya kuzingatia Endapo Utapata Magonjwa yatokanayo na Ngono

0


Wapo baadhi ya watu huwa hawatambui baadhi ya mambo ya msingi pindi wapatapo maambukizi ya magonjwa ya ngono, hivyo kwa kuzingatia hayo Muungwana blog imeona ni vyema wakuletee makala haya ambayo itakuwa ni msada mkubwa kwako pindi utakavyopata maambukizi ya magonjwa ya ngono.

Mambo hayo ni;

  • Wahi kwenye kituo cha huduma ya afya kilicho karibu nawe kwa uchunguzi na matibabu sahihi.
  • Tumia dawa zote kwa kufuata maelekezo yamtaalam wa afya hata kama dalili za ugonjwa zimepotea.
  • Epuka kujinunulia dawa bila maelekezo ya mtaalam wa afya.
  • Usifanye tendo la ngono mpaka utibiwe na kupona kabisa.
  • Muarifu mwenzi wako mapema ili wote mkapatematibabu sahihi na ushauri nasahaRead More

Share.

Comments are closed.