Sunday, August 18

VIDEO: Yanga yafunguka kutolewa klabu Bingwa Afrika

0


Klabu ya Soka ya Yanga leo kupitia kwa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Dismas Ten leo amefunguka na kusema kuwa kitendo cha klabu hiyo kutolewa ligi ya mabingwa Afrika ni jambo ambalo limewafedhehesha kwa kiasi kikubwa, hivyo wamewaomba radhi mashabiki na watanzania kwa ujumla kwa matokeo hayo yaliyojitokeza. “Hatukua na Donald Ngoma na Hamisi Tambwe lakini hii sio sababu ya kukosa kufuszu” amesema Ten

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE Read More

Share.

Comments are closed.