Sunday, August 18

VIDE; "Sijamtukana Rais Magufuli" Nabii anaedaiwa kufutiwa usajili wa kanisa lake

0


Kiongozi wa Kanisa la Bethel Ministry nchini, Nabii Daniel Shilla, anaedaiwa kufutiwa usajili wa huduma hiyo kwa madai ya kujihusisha na siasa, leo machi 21 amefunguka na kudai kuwa yeye hana tatizo na Serikali na  hajawahi kumtukana Rais Magufuli, kuiponda Serikali na hata kujihusisha na siasa ila kwenye uchaguzi Manabii wengi huwa wanapenda kutoa mwelekeo nini kinaweza kutokea, na kusema kuwa yeye hana chama.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBERead More

Share.

Comments are closed.