Sunday, August 18

Simba SC waichakaza Alliance FC

0


Mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kati ya Alliance FC na Simba SC umemalizika kwa Simba kushinda goli 2-0.

Haruna Niyonzima amekuwa mchezaji wa kwanza aliyeona lango la mpinzani katika pambano hili dakika ya 20 akimalizia pasi ya Mzamiru Yassin. Kipindi cha Pili Emmanuel Okwi akaifungia timu yake bao la pili dakika ya 75 akimalizia pasi ya Nicholous Gyan.


Share.

Leave A Reply