Monday, June 17

AFCON 2019: Wachezaji 9 walioachwa Taifa Stars hawa hapa

0


Baada ya kocha Mkuu wa Taifa Stars, Emmanul Amuniken kutangaza kikosi cha wachezaji 23 wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoshiriki michuano ya AFCON 2019 nchini Misri.

Hawa ndio wachezaji walioachwa;

1. Seleman Salula (Malindi)

2. Claryo Boniface (U18)

3. David Mwantika (Azam)

4. Fred Tangalu (Lipuli)

5. Shiza Kichuya (ENPPI, Misri)

6. Miraji Athumani (Lipuli)

7. Kelvin John (U17)

8. Abdi Banda (Baroka, Afrika Kusini)

9. Shaban Chilunda (Tenerife, Hispania).

Waliochaguliwa hawa; 


Share.

Leave A Reply