Thursday, August 22

Yanga yajiandaa kumpokea Patrick ‘Papy’ Sibomana

0


Huenda ikawa winga wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Mukura Victory Sports nchini humo, Patrick ‘Papy’ Sibomana amewasili kimyakimya jijini Dar kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Yanga.

Sibomana ameaga kwao Rwanda kuja jijini Dar kumalizana na klabu ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao.

Usajili huu unaenda kufanyika Yanga ikiwa ni sehemu ya maboresho ya kkosi cha timu kwa ajili ya msimu ujao.

Ikumbukwe Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameshasema usajili wa awamu hii utakuwa ni wa kufa mtu ili Yanga imara irejee.


Share.

Leave A Reply