Monday, June 17

VIDEO: Waziri Kabudi azungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano SADC

0


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi, leo Juni 12, ameitisha mkutano na waandishi wa habari na kuzungumzia kuhusiana na mkutano wa SADC…

Katika mkutano wake na waandishi wa habari Waziri Kabudi, ameviomba vyombo vyote vya habari kuripoti mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika Agosti 17 hadi 18, mwaka huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE


Share.

Leave A Reply