Sunday, August 18

VIDEO: Wananchi watoa machozi wadai kunyanyaswa na Askari Polisi

0


Wananchi wa wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha wamemwaga machozi mbele ya kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shanna kutokana na Manyanyaso wanayoyapata kutoka kwa Askari Polisi pamoja na matatizo mbalimbali ambapo ilimlazimu kamanda wa Polisi Kutoa maagizo mazito

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USIKOSE KU-SUBSCRIBE


Share.

Leave A Reply