Friday, August 23

VIDEO: "Tutakagua nyumba hadi nyumba" Medard Kalemani

0


Waziri wa Nishati Dr. Medard Kalemani Amemwambia Mkandarasi anaesimamia mradi wa umeme wilaya ya Kiteto katika mkoa wa Manyara kwamba asishangae Nyumba ya mtu ilivyokaaa bila kuwekwa umeme

Dkt. Kalemani  ameyasema hayo alipotembelea na kuangalia hali ya mradi wa umeme vijijini [REA] katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara ambapo ameeleza kuwa  mwisho wa Mradi huo atarudi kukagua Nyumba hadi nyumba,kijiji hadi  kijiji  na kubaini wananchi ambao hawajaingiza umeme kwenye nyumba zao kwa sababu serikali imetoa ruksa kwa wananchi wote kulipa kidogo kidogo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USIKOSE KU-SUBSCRIBE


Share.

Leave A Reply