Saturday, July 20

VIDEO: Sakata la kuitwa balozi wa EU latua bungeni, Spika ajibu

0


Sakata la kuitwa kwa balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), Roeland van de Geer makao makuu ya umoja huo nchini Ubelgiji limeibuka Bungeni leo Novemba 8 ambapo Mbunge wa jimbo la Ndanda Cecil Mwamba (CHADEMA) alipohoji msimamo wa Serikali juu ya mahusiana na jumuia hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE


Share.

Leave A Reply