Wednesday, May 22

VIDEO: Mtoto wa Masogange aibuka na kuwataja Wema Sepetu na Aunt Ezekiel

0


Mtoto wa Marehemu, Agnes Gerald ‘Masogange’ aliyekuwa video vixen ameeleza kuwa moja wa waigizaji anaowakubali ni Wema Sepetu na Aunt Ezekiel.

Ameeleza hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye kuelekea siku ya uzinduzi wa filamu ya Hukumu, December 15, 2018 City Mall Dar es Salaam. Filamu hiyo amecheza marehemu Masogange, Rammy Galis na washiriki wengine.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA, PIA SUBSCRIBE 


Share.

Leave A Reply