Wednesday, May 22

VIDEO: Mrithi wa Nassari apatikana

0

Mchakato wa Kumpata mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki umeshakamilika ambapo Chama cha mapinduzi kimepita nafasi hiyo bila kupingwa baada ya magombea wengine kukosa sifa ya kuwa wagombea.

Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Dkt John Palangyo ameibuka mshindi ambapo ameshatangazwa kuwania nafasi hiyo ya Ubunge baada ya kutangazwa na msimamizi wa Uchaguzi bwana Emanuel John mkongo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…USIKOSE KU-SUBSCRIBE

;

Share.

Leave A Reply