Wednesday, August 21

VIDEO: Mapya yaibuka maduka 116 yaliyofungwa Dar, Makonda na JPM watajwa

0


Wafanyabiasha wa eneo la Tandika, Manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam wamemuomba Rais Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa huo kuingilia kati mgogoro unaoendele kati ya wafanyabiashara na Manispaa baada ya kutokea kwa sintofahamu baina yao huku baadhi ya maduka hayo yakifungwa kwa kile kinachodaiwa hawajalipa kodi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USISAHAU KUSUBSCRIBE


Share.

Leave A Reply