Tuesday, July 23

VIDEO: Manji apigwa chini Yanga, mrithi wake afunguka kuhusu uchaguzi

0


Hatimaye Shirikisho la Soka nchini TFF limefanikiwa kuondoa utata kuhusu sakata la Mwenyekiti wa Yanga na kufanyika kwa uchaguzi wa klabu hiyo. Thobias Lingalangala ameteuliwa kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Yanga kwa mujibu wa mkutano uliofanyika jana na pia uchaguzi wa Yanga umetangazwa kufanyika January 13, mwakani huku fomu za kugombea nafasi hizo zikiwa zimeanza kutolewa Ijumaa ya Novemba 9, 2018.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USISAHAU KUSUBSCRIBE


Share.

Leave A Reply