Friday, August 23

VIDEO: Kipaje kingine chaibuka Tanzania

0


Mwanafunzi kutoka chuo cha Ufundi Stadi Veta Manyara Clinton Joseph mkazi wa mtaa wa Nyunguu Mjini Babati amebuni na kutengeneza mashine  ijulikanyo kama Vender Machine yenye uwezo wa kuuza bidhaa bila kuwa na mhudumu.

Kijana huyo akizungumza na Muungwana Tv anasema uwezekano wa kutengeneza mashine nzuri ya Kisasa upo isipokuwa uwezeshaji ndo tatizo.

Amefanikiwa kutengeneza mashine hiyo inayotumia umeme kwa kutumia Maboksi  huku rafiki yake aitwaye Amani Makene akimchorea Muundo wa mashine hiyo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USIKOSE KU-KUSUBSCRIBE
Share.

Leave A Reply