Tuesday, August 20

VIDEO: Kaburi la mtu mwenye Ualbino aliyezikwa 2015 lafukuliwa

0


Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino) nchini wamelaani vikali vitendo ya ufukuaji makaburi vinavyofanyika Mkoani Mbeya na maeneo mengine nchini vinavyofanywa na baadhi ya watu ambao bado wanaendekeza mila potofu.

Akizungumza na vyombo vya habari akiwa Mkoani Njombe Mwenyekiti wa Chama Cha Albino Tanzania Bwana Nemes Temba amesema vitendo ivyo vimekuwa vikiwaingiza kwenye hofu kubwa na kukosa amani Albino aambo ambalo linapingwa vikali huku wakiitaka Serikali kuingilia kati ukomeshaji wa vitendo hivyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USISAHAU KUSUBSCRIBE

Share.

Leave A Reply