Thursday, February 21

VIDEO: Aliyekuwa mchezaji wa Simba atemwa KMC, kisa..

0
Klabu ya KMC kupitia kwa Katibu wake Msaidizi Walter Urio imetangaza kuachana na mchezaji Abdulhalim Humud ambaye aliwahi kuchezea Simba na Azam FC. Urio ametaja sababu ya kufikia maamuzi hayo ni kutokana na mchezaji huyo kufanya vitendo kadhaa vya utovu wa nidhamu pia ameweza kuandika barua mwenyewe ya kutaka kuacha kwenye kikosi hicho.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USISAHAU KUSUBSCRIBE


Share.

Leave A Reply