Monday, August 26

Sifa na tabia walizonazo wanaume katika mahusiano ya mapenzi

0


Zifutazo ndizo sifa walizanazo wanaume katika ulimwengu wa wapenzi na nahusiano:

1. Ukimkuta handsome, mawazo yake yanakuwa ni ya kitoto

2. Ukimkuta genius…yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.

3. Ukimkuta tajiri, hawezi kukuheshimu utamkuta madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimkuta mfanyakazi hodari na mtafutaji, hana muda wa kuwa na wewe yeye  muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimkuta mnyenyekevu…mfukoni huwa 0%.

6. Ukimkuta anayependa kwa dhati…anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazozitaka.

7. Ukimkuta msomi hasikilizi ushauri wako..anakuona boya tu.

8. Ukimkuta yule smart ni muongo to the maximum na player

So ushauri kwa wadada kwenye kuchagua embu sikiliza moyo wako unataka nini… na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect.


Share.

Leave A Reply