Saturday, August 17

Juventus yanyakua ubingwa tena, Ronaldo aweka rekodi

0Klabu ya Juventus imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Seria A hapo jana baada ya kuinyuka klabu ya Fiorentina magoli 2-1 na kufikisha alama 87.

Magoli ya Juventus yalifungwa na Alex Sandro na Pezzela aliyejifunga na goli la Fiorentina lilifungwa na Nikola Milenkovic.

Huu unakua ubingwa wa 8 mfululizo kwa Juventus.

Kwa ubingwa huu unamfanya Ronaldo kuwa mchezaji pekee kuwahi kunyakua ubingwa wa Ligi akiwa Hispania, Uingereza na Italia.


Share.

Leave A Reply