Friday, March 22

Harmonize afunguka mahusiano yake na Jackline Wolper

0


Msanii wa muziki Bongo, Harmonize amefunguka kuhusu yeye na Jackline  Wolper. Muimbaji huyo ameiambia Wasafi TV kuwa kwa sasa wao ni marafiki tu wa kawaida.

‘Nikimtaja Wolper au nikimpandisha kwenye jukwaa ni Malkia wangu,” amesema Harmonize.

Utakumbuka mapenzi ya wawili hao yalivunjika na Harmonize kuwa mapenzini na mrembo Sarah, licha ya kuachana mara kadhaa walijikuta wakirushiana maneno mtandaoni.

Kwa sasa wameanza kuonekana pamoja tena kwenye show za Wasafi Festival.


Share.

Leave A Reply