Sunday, November 18

Esma atoa ya moyoni, adai mpenzi wa Hamisa ni Mario

0


Mwanadada Esma Platinumz ambae ni dada wa msanii Diamond platinumz amefunguka na kutoa yake ya moyoni baada ya mashabiki wa Hamisa kumsifia  sana mwanaume mpya wa Hamisa kuwa yuko tofauti sana na wanaume aliyowahi kuwa nao katika mahusiano akiwemo Diamond platinumz.

katika uwanja wa maoni, Esma alindika la moyoni baada ya kukwera na kile kilichokuwa kikisemwa na mashbiki kuhusu kaka yake na kuandika “tofauti yao ni nini maana mbona huyo wa kwenu anaonekanakuwa mario”

Hamisa kwa mara ya kwanza aliandika katika ukursa wake kuwa mwanaume huyo ambae amekuwa akihisiwa kuwa yuko nae katika mahusiano ni kweli kuwa ndio mpenzi wake kwa sasa.


Share.

Leave A Reply