Wednesday, August 21

VIDEO: Waziri Lugola awasweka ndani polisi 8, vigogo 3 wasimamishwa kazi

0


Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kuwasimasha kazi mkuu wa polisi Geita, mpelezi wa wilaya na mkuu wa kituo cha polisi Geita kupisha uchunguzi kufuatia tukio la kutoroka mahabusu 15 Mei 21 mwaka huu. Pia waziri Lugoka ameagiza kukamatwa kwa polisi nane ambao walikuwa wakiwasimamia wafungwa hao na kusababisha kutoroka.

FULL VIDEO HAPA CHINI….USISAHAU KUSUBSCRIBE


Share.

Leave A Reply