Saturday, August 24

VIDEO: Duuh Hatari! Kijana acheza na nyoka na kumuingiza sehemu za siri

0


Mapokezi ya timu ya Sevilla katika uwanja wa ndege wa Mwl. JK Nyerere kulikuwa na burudani nzito ya ngoma , lakini kubwa lililoonekana kuwashangaza wengi ni kijana mmoja alipokuwa anacheza na nyoka mpaka kufikia hatua ya kumuingiza katika sehemu za siri.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USISAHAU KUSUBSCRIBE


Share.

Leave A Reply