Thursday, February 21

VIDEO: Back TO Back S01ep1: Vijana wa sasa oya oya | Ni kama Wabakaji | Wahuni Tu

0


Kufuatia kupotoka kwa maadili ya vijana muungwana blog ilifunga safari kupiga story mbali mbali na wazee wa zamani kupitia kipindi cha Back to Back ambapo walitujuza mengi kuhusiana na maisha yao ya zamani na maisha yao jinsi walivyokuwa wakiishi na kuvaa, kiujumla mzee nyangedi alilaani sana maadili ya kipindi hiki ambapo alisema chanzo kikubwa ni maendeleo ya teknolojia.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA………USISAHAU KUSUBSCRIBE…………..


Share.

Leave A Reply