Sunday, August 25

VIDEO: Abdul Nondo Asafirishwa Iringa, Apandishwa Mahakamani

0


Taarifa zilizokuwa zikisambaa asubuhi ya leo kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi TSNP, Abdul Nondo kusafirishwa kwenda Iringa zimethibitishwa na Mwanasheria wa Mtandao huo, Paul Kisabo ambaye amesema tayari Nondo amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Iringa Mjini asubuhi ya leo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…USISAHAU KUSUBSCRIBERead More

Share.

Comments are closed.