Tuesday, August 20

MBUNGE WA KIBAHA AWASIKILIZA WANANCHI WAKE KUTATUA KERO ZAO

0


 Mbunge wa Kibaha mjini, Sylvester Koka, akimvisha kofia na Fulana ya CCM, mwanachama mpya aliyejiunga na CCM baadaya kurudisha Kadi ya Chadema, Richard Muya, wakati wa mkutano wa hadhara wa mbunge huo uliokuwa maalumu kusikiliza kero za wananchi uliofanyika katika Stendi ya Maili Moja, Kibaha mkoa wa Pwani jana. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Robson Richard akikabidhiwa tisheti…..
 Kadi za wanachama waliorudisha kadi za Chadema na kujiunga na CCM.
 Mbunge Koka akipiga picha ya kumbukumbu na wanachama waliorudisha kadi za Chadema na kujiunga na CCM wakati wa mkutano huo jana.
 Mbunge wa Kibaha Mjini, Sylvester Koka, akizungumza kuwahutubia wananchi wa Kibaha wakati wa mkutano huo.
 Baadhi ya viajana wakijiandaa kukabidhi kadi zao
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibaha mjini, Maulid Bundala, akiwatangaza wanachama wapya waliorudisha kadi na kujiunga na CCM
 Hapa ilikuwa ni furaha mwanzo mwisho baada ya vijana kadhaa kurudisha kadi za Chadema katika mkutano huo.
 Picha ya pamoja na wanachama waliorudisha fomu

 Christopher Njau, akieleza kero zake kwa Mbunge….
 Kanogoleke, akieleza kero zake 
Mohamed Likwai, akitoa kero zake
 Neema Andrew, akitoa kero zake za kutounganishiwa maji kwa kipindi cha mwaka mzimaRead More

Share.

Comments are closed.