Thursday, August 22

BREAKING NEEEEWZZZ!!!!! TFF KUMTANGAZA NYAMLANI MAKAMU WA RAIS KUMRITHI WAMBURA

0


Habari zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF baada ya kukaa kikao cha dharula katika Hoteli ya Seascape iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Saam,jana sasa imepanga kumtangaza aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho hilo, Athumani Nyamlani kuchukua nafasi ya Michael Wambura kukaimu Umakamu wa Rais wa Shirikisho hilo.
Aidha imeelezwa kuwa Shirikisho hilo kesho jumatatu litakuwa na mkutano na Waandishi wa Habari kwa lengo la kutangazamaamuzi hayo ya Wajumbe walioridhia kuvunja Katiba yao ya TFF na kumtangaza rasmi Nyamlani kuwa makamu wa Rais.
Kwa upande wa Michael Wambura, aliyekuwa Makamu wa Rais kabla ya kufungiwa maisha kujihusisha na masuala ya mpira, ametangaza kukata rufaa kupinga maamuzi hayo ya TFF kuvunja katiba na kumteua Nyamlani kuwa mrihi wake.
KWA TAARIFA KAMILI KAA NASI Read More

Share.

Comments are closed.