Saturday, August 24

MSAADA WA WADAU

0


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidizi wa Polisi,Juma Bwire (kushoto) akipokea msaada wa Samani za Makabati 3, viti 15 na Meza 3 kutoka kwa Taasisi ya SOS Children Village Tanzania tawi la Iringa vya thamani ya Tsh 2,700,000/= ambavyo vitatumika kwenye Kitengo cha Dawati la Jinsia na Watoto ngazi ya Kata. Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi. 

from MICHUZI BLOG http://bit.ly/30WyCrf
via

logoblog

Share.

Leave A Reply