Friday, August 23

MADEREVA WA BODABODA WAKIKATIZA NA ABIRIA KWA MTINDO WA MISHIKAKI

0


 Madereva wa bodaboda wakikatiza katika viunga vya Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam wakiwa wamepakia abiria kwa mtindo wa mshkaki huku wakiwa hawajavaa kofia ngumu jambo ambalo ni hatari wa maisha yao. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)

from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2vcLsD9
via

logoblog

Thanks for reading MADEREVA WA BODABODA WAKIKATIZA NA ABIRIA KWA MTINDO WA MISHIKAKI

Share.

Leave A Reply