Thursday, February 21

Je unajua?Mwanaume Hujaribiwa zaidi na Shetani Akiwa na Hela na Mwanamke Hujaribiwa Akiwa Hana Hela

0


Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).

Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela. Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao. Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless. Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.


Nini kifanyike?

Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli. Anaondoka zake kurudi kwenye makazi yake kwa Bashite na Faru John.!

Wewe una maoni gani juu ya huu utafit toa maoni au mtazamo wako.

DOWNLOAD APP YETU YA MASAMA BLOG HAPA👇👇👇ILI UWE UNAPATA HABARI HIZI KIRAHISI

Share.

Leave A Reply