Monday, June 17

DEREVA WA BODABODA APATA AJALI

0


Askari wa Usalama Barabarani akimsaidia kumuinua Dereva wa Bodaboda yenye namba za Usajili MC 805 BUA aliyejaribu kutaka kuziwahi taa katika makutano ya Barabara ya Mandera na barabara ya Chang’ombe Dar es Salaam jana na kuligonga Gari lenye namba za Usajili T 340 CUF ambapo alikimbizwa Hospitali (PICHA NA KHAMISI

Wananchi wakishuhudia

from CCM Blog http://bit.ly/2X7lZuy
via

logoblog

Share.

Leave A Reply