Thursday, February 21

Breaking News: Rais Magufuli Katengua Uteuzi wa Balozi wa Tanzania nchini Canada…Kamvua Pia Hadhi ya Ubalozi

0


Rais Magufuli leo November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata.

Uamuzi huu umeanza tarehe 5 November 2018 .Pia Kidata ameondolewa hadhi yake ya ubalozi.

DOWNLOAD APP YETU YA MASAMA BLOG HAPA👇👇👇ILI UWE UNAPATA HABARI HIZI KIRAHISI

Share.

Leave A Reply