Sunday, August 25

BONANZA LA SOKA WABUNGE WA BUNGE LA JMT NA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR LAFANA

0


 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akioneshwa jambo na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid, kwenye kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019.


 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, wakati akiwasili katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019, kushuhudia mpira kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid, Mbunge wa Viti maalum, Salma Kikwete.

 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akiwapa mkono Wabunge wa Bunge la Tanzania, wakati akikagua timu katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, katika mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Aprili 26, 2019.

 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akiwapa mkono Wabunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati akikagua timu katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, katika mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akirusha shilingi kabla ya mechi kuanza, kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodo.

 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akipuliza firimbi, kwenye kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akipuliza firimbi, kwenye kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019.

 Mbunge wa Jang’ombe Ali King, akicheza mpira wa juu, katika mechi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019.

Wabunge wakiangalia mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Share.

Leave A Reply