Friday, July 19

AFYA: JE, Unafahamu Madhara ya Kujichua Kwa Mwanamke?..Soma HAPA

0


Imezoeleka kuwa wanaume ndio wahanga wa kujichua zaidi ya wanawake na wao ndio hupata madhara na mojawapo ni kukosa hamu ya tendo la kujamiiana.

Kama ilivyo kwa wanaume, wanawake nao wamekuwa waathirika wakubwa wa kujichua tena kwa kutumia vifaa mbalimbali

Kwa uchache yafuatayo ni madhara ya kujichua kwa Wanawake

Kukosa hamu na kutoridhika wakati wa tendo la ndoa, hii hutokana na utofauti wa kimuundo katika vifaa vinavyotumika na maumbile rasmi ya Mwanaume

Michubuko ukeni, hii ni kutokana na vifaa vinavyotumika vinaweza kusababisha majeraha madogo madogo

Huweza kusababisha maambukizi ya magonjwa kutokana na bakteria wanaoingia kupitia vifaa vinavyotumika

Je, ni madhara yapi mengine unayafahamu?

DOWNLOAD APP YETU YA MASAMA BLOG HAPA👇👇👇ILI UWE UNAPATA HABARI HIZI KIRAHISI

Share.

Leave A Reply