Monday, June 17

UBELGIJI YALIPIZA KISASI…YAITWANGA BRAZIL 2-1

0


Ubelgiji imelipiza kisasi dhidi ya timu ya Amerika ya Kusini


Mechi imekamilika: Brazil 1-2 Ubelgiji

Argentina iliitoa Ubelgiji robo fainali Kombe la Dunia 2014.
Ubelgiji imeiondoa Brazil Urusi 2018!
Kwa mara ya nne mfululizo, Brazil imetemwa nje ya Kombe la Dunia na timu kutoka Ulaya.
2018: Ubelgiji

2014: Ujerumani.

2010: Uholanzi

2006: UfaransaRead More

Share.

Comments are closed.