Wednesday, July 17

PRINCE HEALTH CLINIC & SPA NDIO WAJANJA WA KUKUFANYIA MASSAGE MWILI WAKO, HEBU WACHEKI HAPA

0


 Hiki ni kiota kipya kabisa cha kufanya Massage parlor and beauty therapy, nilibahatika kupita eneo hili nakujionea mwenyewe jinsi kazi inavyopigwa na wadada na wakaka walioko hapo Prince Health Clinic iliyopo maeneo ya Samnujoma RD, Opp na Calabash kama unatokea maeneo ya Mwenge stand basi yenyewe iko upande wa kushoto utaona geti lao lipo barabarani kabisa pia unaweza kuwacheki kupitia email yao hii princeandbeauty@gmail.com AU princeandbeautyparlour@yaho.com 
Pia wanapatikana Instagram unaweza kuwacheki hapa http://instagram.com/princehealth_beautyparlour  Au kama unataka kuweka booking kabisa ili ukifika usikae kwenye foleni unaweza kuwapigia kwa namba hii +255 765 250 025, +255 767 138 801, +255 714 411 145 na bei zao ni nzuriiiiiiiiiiiiii hadi raha

Hawa ni wadada warembo kabisa wanaopiga kazi hapa Prince Health Clinic
Ukiwa Prince Health Clinic huna haja ya kwenda saloon za nje humo humo ndani wanasaloo ya kiume na ya kike.
Hiki kiti bwana ukikaa hapa halafu ukiwa unatengenezwa kucha au kusafishwa miguu basi nacho kitaendelea kukuhudumia mgongo wako na kujisikia muruwaaa
 Chumba hiki cha massages nimekiona na naambiwa wanaruhusiwa mtu kuja na mpenzi wake mmoja akaa kitanda hiki halafu mwenzake anakaa kitanda kinachofuata na huduma inaendelea.

 Hii ni machine maalumu kwaajili ya miguu huku chini ya unyayo kwa sie tunaozurura sana mitaani basi kifaa hiki mwisho wa siku kinasaidia kupondaponda na kumassage mikuu yako vizuriiiiiiRead More

Share.

Comments are closed.