Wednesday, July 17

(News) WASHINDI 270 WA PROMOSHE YA MKWANJA KWA WAKALA WATUMIWA PESA ZAO KWA M-PESA

0


 Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)jinsi washindi wa promosheni ya Mkwanja kwa Wakala wanavyotumiwa fedha zao za ushindi Sh.100,000 kila mmoja. Droo hiyo inayowahusisha mawakala wa M-pesa nchi nzima hutoa washindi 270 kila wiki. Kutoka kushoto ni Meneja wa M-pesa Gloria Njiu, Meneja Fedha Abdon Joseph na Mhasibu Mwandamizi – M-pesa Deogratius Shrima(aliyeketi).

 Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim akisisitiza jambo kwa  waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchezesha droo ya Mkwanja kwa Mawakala,Jumla ya270 walitumiwa pesa zao walizoshinda Sh. 100,000 kila mmoja kwa njia ya M-PESA,Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Meneja wa M-pesa Gloria Njiu, Meneja Fedha Abdon Joseph na Mhasibu Mwandamizi – M-pesa Deogratius Shrima(aliyeketi).
Mhasibu Mwandamizi wa M-pesa Deogratius Shirima (aliyeketi) akiwaonesha kutoka kulia waliosimama Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim. Meneja wa Fedha – M-pesa Abdon Joseph na Meneja wa M-pesa Gloria Njiu jinsi mfumo wa malipo wa M-pesa unavyotumika kuwatumia washindi 270 wa Mkwanja Kwa Wakala kila wiki Sh.100,000 kila mmoja.Read More

Share.

Leave A Reply