Wednesday, July 17

(News) MABESTE hayupo tena B'HITZ MUSIC GROUP kuanzia sasa.

0


Baada ya msanii wa kike Vanessa Mdee kusema hayuko tena BHITS MUSIC GROUP sasa msanii mwingine aliyesema hayupo tena BHITS ni MABESTE. Katika ukurasa wake wa Facebook Mabeste hajaelezea chanzo cha kwanini hayupo tena katika group hilo la BHITS. Unaweza kumcheki hapa kwenye Facebook Account yake. Read More

Share.

Leave A Reply