Saturday, August 17

WAWILI MBARONI KWA MAUAJI YA KIGOGO WA CHADEMA

0


Jeshi la Polisi kupitia Kanda Maalum ya Dar es Slaam limewakamata watu wawili wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa Kiongozi wa Chadema Kata ya Hananasifu, Daniel John.

Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa wakati akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam.

SACP Mambosasa amesema watu hao walikamatwa majira ya saa nne usiku, Februari 23, 2018 maeneo ya Hananasifu Kinondoni.

“Kufuatia uchunguzi unaoendelea juu ya mauaji hayo, walikamatwa watu wawili mmoja jinsia ya kike na mwingine wa kiume,” amesema.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.